BREAKING NEWS: Abdul Nondo afikishwa Mahakamani

Image result for nondo
Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi TSNP, Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya  Iringa kusomewa mashtaka yanayomkabili. Mwanasheria wa TSNP amethibitisha taarifa hiyo.

Post a Comment

0 Comments