AL MASRY SC VS SIMBA KWENDA LIIVE, UNAWEZA UKAITAZAMA MECHI HII KUANZIA SAA 2:30 USIKU



Baada ya mipango kutoka Azam TV kwenda mrama kuonesha mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Al Masry dhidi ya Simba, sasa mechi hiyo itaruka Online.

Kituo cha On Sport kutoka Misri kinaweza kuonesha mechi hiyo itakayoanza majira ya saa 2 na nusu usiku wa leo.

Post a Comment

0 Comments