DISMAS TEN YUPO STUDIO NA PRODUCER LAMAR HIVI SASA KUANDAA WIMBO MAALUM WA YANGA





Klabu ya Yanga imeanza kuandaa wimbo maalum utakaokuwa unatumika katika matukio mbalimbali yanayoihusu timu hiyo.

Tazama hapa Mkuu wa Studio hizo, Muandaaji, Lamar akiwa akiwa sambamba na Afisa Habari wa Yanga, Dismas Ten wakiandaa biti la wimbo huo.

Post a Comment

0 Comments